NJOO … MAMA HAYUPO 3
BY GIFT KIPAPA
“hapana , siwezi kuingia kwenye hilo tundu , kwanza hata siwezi kutosha.”
Aliongea shadrack huku akiliangalia sink la choo.
“dirishani wewe mjinga , nani kasema unaingia kwenye tundu la choo?”
Aliongea anie huku akimuanganalia shadrack usoni .
“ooh, sawa, sijui kwa nini sikufikiria hilo.”
Aliongea shadrack na kushusha pumzi mara baada ya kuliona dirisha hilo,dogo lililokuwa juu kabisa ya choo hicho.
Anie alipanda kwenye sink na kisha kukivuta chuma kilichokuwa kina zuia dirisha hilo kama vile kimechomelewa , kumbe yeye alishatoa kile kilichochomelewa na kuegesha cha kwake kinachofanana na kile, hiyo ilikuwa njia yake ya usiku akitaka kutoka zake kwenda viwanja ambavyo mama yake alimkataza kwenda.
“haraka, sitaki waingie humu na kukuta , nataka mlango wangu wa siri ubaki kuwa siri.”
Aliongea anie na shadrack haraka alipanda juu ya sinki hilo na kurukia kwa nje .
“kwa heri , nitakupigia.”
Aliongea anie.
“lakini huna namba yangu.”
“Najua mahali pa kuipata .”
Aliongea kauli hiyo ambayo ilimshangaza shadrack, lakini hakuwa na muda wa kushangaa zaidi kwa muda huo kitu pelkee alichokuwa anatakiwa kufanya ni kutimua mbio kabla mama mwenye nyumba na mfanya kazi wake hawajajua kwamba tayari amesha toka humo.
Jambo zuri ni kwamba alikuwa ameshalipwa mapema , kwa hiyo hakuwa na lolote la kuhofia kulipoteza kutoka kwao, labda mashtaka tu kwa supervisor wake na huwa mara nyingi anaishia kumsema tu sababu kazi za nje huwa hazihusinai na zile za ofisini japo wateja hawalitambui hilo.
****
Alipotoka mitaa hiyo ya ushuani shadrack alipitiliza moja kwa moja mtaani kwao , japo bado iikuwa mapema. ilikuwa sio kawaida yake kurudi uswazi mida hiyo, mara nyingi alikuwa anarudi usiku hata kama mjini hana kazi kelele za uswazi pamoja na joto kali vyote hivyo vilikuwa vitu ambavyo alikuwa anataka kuvikwepa, ni heri azuge zuge tu mjini na kupigwa na kiyoyozi cha ofisini , akipiga stori na washkaji pamoja na kuleta shobo kwa wateja ili angalau apate tipu, na kweli alikuwa anazigonga hela zao , vikazi viogo vidogo zilivyojitokeza hapo kila mtu alikuwa kimuita yeye.
Aliposhuka kwenye dala dala alianza kuikata mitaa ya huko uswazi kwao, vumbi lilikuwa linatimuliwa na boda boda pamoja na bajaji zilizokuwa zikakatisha kwa fujo. maduka yaliyokuwa pembezoni mwa bara bara hiyo nayo yalikuwa yakipiga muziki kwa fujo, hapa utasikia mnanda pale mchiriku, mara taarabu na rozi muhando humo humo na wimbo wake wa nibebe.
Shadrack alipita pembeni ya bara bara hiyo kuzikwepa piki piki ambazo nazo zilikuwa zikipiga muziki kwa fujo kwa kweli ilikuwa balaa.
“Ndio maana nakuchukia kitaa , vurugu tupu bora tu ningetulia zangu ushuani , kudadeki walai.”
Alilaani shadrack na kuamua kuchepukia kwenye kichochoro ili kukwepa kero hizo , na huko nako ndio kama vile alikuwa anaruka majivu na kukanyaga moto.
Mtaa huu alikuta bonge la ugomvi kati ya wake wenza, chanzo kilikuwa mume wao, alidanganya amesafiri kwenda mkoani kikazi, kumbe bi.mdogo amemfungia ndani na sasa bi.mkubwa kafanya uchunguzi wake na kuwafuma wakibebana kama watoto kupelekana bafuni kuoga.
“kumamako leo nasema mtanitambua wasenge nyie , nimewaruhusu kuona, mkafanya animuni na ushenzi mwingine wote lakini mnaona haitoshi mpaka mnanidhurumu zamu zangu , mnataka mimi nikatombwe wapi kumamae zenu, eeeh nikatombwe wapi nauliza?”
Alipiga kelele bi.mkumbwa, mwanaume pamoja na bi.mdogo hawakuonyesha kujali wala nini.
“si jitie vidole hii, kwani lazima mboo.”
Aliongea bi.mdogo kwa jeuri na hapo hapo bi.mkubwa alimvaa na kukukuruka nae kwenye uwanja wa nyumba hiyo, wapambe pembeni walishangilia ile kinazi.
Shadrack alipitiliza zake na kuacha ujinga huo uendelee na kukatisha kichochoro kingine huko sasa ndio ailibidi azibe pua, ilikuwa harufu mbaya ya mkonjo, wa walevi mixa kinyesi , aliruka ruka kukwepa na hatimaye akaibukia kwenye kirabu cha pombe za kienyeji na hapo alikuta walevi wakipiga mitungi huku wakicheza muziki kwa zunguka duara, wanawake japo walikuwa wamama watu wazima lakini vituko walivyokuwa wanavifanya hapo ilikuwa hatari tupu.
Kuna waliojifunua funua khanga zao na kuacha matako yao wazi ili wale walevi wa kiume wayashike shike na kuyaminya watakavyo , walikuwa wakiyatikisa matako hayo kwa staili ya kuyabenua benua hivi na kugonga gonga mapaja ya wanaume waliokuwa wakicheza nyuma yao wakiwa wamejibana kwa ziro distensi, mboo zao zilizokuwa zimedinda ile kisenghe zilikuwa zikijigonga gonga kwenye matako hayo kwa vurugu kinoma, muziki uliwanogea walinyanyua mikono juu na kushagilia .
Shadrack aliwaangalia huku akitikisa kichwa chake , hakupenda lolote kati ya hayo, maisha ya washua yalikuwa yamemuingia kichwani alikuwa anatamani kama siku moja angeamka na maisha yake yote yawe huko , alikuwa anapenda vile vicheko vyao, mandhari tulivu muziki wa taratibu kutoka katika piano inayobonyezwa na mtaalamu wa muziki pamoja na yale maglasi ya wayne wanayo yashikikilia wakiwa wamekusanyika pamoja kwenye sherehe zao , waliziita dina parti , valentine na majina mengine kibao ya kitasha kibao , shadrack alikuwa akiota hivyo vitu kila siku lakini kitu pekee alichokuwa anakipata ni hizi nyimbo za kina dogo mfaume na kazi yake ya dukani pamoja na zingine zingine walizotwanga wakina omari omari na waimba singeli kibao, pamoja na hivi vihoja vya watu kuvua nguo hadharani kama wehu, bila kujari watoto wadogo kuwepo jirani , wenyewe waliita kumwaga razi na kweli radhi ilikuwa inamwagika sio mchezo.
“eeeeh , shadrack, jamaa yangu leo nimekuotea, uniambii kitu.”
Shadrack aliisikia sauti hiyo na kugeuka kumwangalia mtu aliyemuita , alikuwa ni mmoja kati ya wale wanaume waliozunguka duara mule kirabuni.
Domo lake lilikuwa zito na alikuwa akiyumba yumba hivi kusogea jirani toka kirabuni kumfuata shadrack.
“potonto! kumamako walai huyu mjinga atanisumbua kinoma , sijui hata kwa nini nimepita huku kirabuni.”
Alilaani shadrack huku akimuangalia potonto akija kwa kuyumba nyumba , aligonga meza kadhaa walizokaa walevi wenzake wakinywa mtungi, nusu amwage mitungi yao , chupa pamoja na mabakuli ya plastiki yaliyokuwa na pombe hizo yalitikiska tikisika hivi kwenye meza hiyo.
“oya wewe fala angalia unakokwenda , mwangalie kwanza mwendo wake ka msenge.”
Aliropoka mmoja kati ya walevi waliokuwa wamekaa kwenye meza iliyotikiswa baada ya pombe yake kumwagika kidogo kwenye meza hiyo.
“ndio ni msenge fresh namfila na mkeo vile vile, kuma wewe “
Alijibu potonto huku akiendelea kutembea.
Shadrack alimuangalia jinsi alivyokuwa anatembea kilevi levi , mavazi yake jinsi yalivyochoka na hata sura yake , alikuwa anaonekana mkubwa kuliko yeye , lakini ukweli ni kwamba walisoma darasa moja toka shule ya msingi na walikuwa marafiki wakubwa , walicheza michezo yote ya mtaani pamoja lakini alifeli shule ya msingi wakati shadrack alipo fauli shule ya kata japo hata yeye hakufanya vizuri zaidi lakini aliishika kusoma chuo cha kutunza nyumba. Na sasa yupo huko kusafisha nyumba za washua wakati mwenzake ndio kazi kushinda na mitungi kwenye virabu akibomu kila mtu aliyemjua mpaka kieleweke.
“oya pontonto inakuaje mtu wangu wa nguvu , mbona umepotea hivyo kitaa nilifikiri umesafiri?”
Aliongea shadrack huku akijifanya kuchangamka kinafiki.
“niende wapi mimi jembe langu wakati dar ndio nyumbani.”
Aliongea potonto huku akiyumba yumba hivi kwa kurudi nyuma kwenda mbele.
“niambie mkali wangu mishe zina kwendaje?”
Shadrack aliongeza.
“mishe kitu gani mkali wangu , mishe mnazifanya nyie huko na washua, chakufanya nizungushie raundi hapa mimi nijimiminie mitungi barida.”
Aliongea potonto kwa sauti ya kilevi levi .
Shadrackl hakutaka kufanya nae maongezi nae sana , aliingiza mkono wake mfukoni haraka na kutoa noti ya shilingi elfu tano na kisha kumdakisha.
“barida mkali wangu , ndio maana nakukubali shadrack wewe ndio jembe la maana.”
Aliongea potonto kwa furaha kinoma , lakini alivyochomoka hapo yani hata maongezi yenyewe na shadrack aliyakatisha, alirudi kirabuni akiwa na madaha kinoma , shadrack alimuangalia jinsi alivyokuwa anawasukuma sukuma walevi wenzie humo ndani aliishia kutikisa kichwa chake kwa huruma kinoma.
“oya shadrack , shadrack na mimi nitoe mai tano ,”
Aliongea mlevi mmoja alikuwa amelala chali kwenye kichochoro hicho suruali yake yote ikiwa imelowa kwa mkojo .
“embu toka zako huko lpyana umejikojolea, pombe zitakuua wewe mjinga .”
Shadrack alifoka.
‘eeh na wewe shadrack nipe jero tu, nataka chupa moja tu ya mwisho, moja tu.”
Aliongea tena mvulana huyo na alafu safari hii alijamba mavi yake yalikuwa yananuka kinoma.
“toka zako huko mwehu wewe.”
Alifoka shadrack huku akimpita kwa kumruka pale chini sababu alikuwa amejilaza kwa kuziba kichocoro chote .
Watu wote walipita hapo ilikuwa lazima wamruke yeye.
MWISHO WA KITABU CHA KWANZA.
0 comments:
Post a Comment