
MTUNZI : WASHAWASHABABU MKUNAJIMambo zenu,natumai muwazima wote,binafsi niko poa ila hapa nilipo ni joto la kufa mtu.Leo nimeamua niwahadithie kidogo kipindi niko kigoli,ni stori ambayo nimekaa nayo kwa muda wa miaka mitano,kwa jina naitwa Janeth na nina miaka 20,miaka mitano nyuma,kuna babu alikuja kuishi nyumbani kwa akina Mwajuma,huyu...