CHIKU AKUTANA NA AFANDE MANYOTA - PART 2
AM: Ilikuwa niondoke leo kurudi Bongo lakini
naona nitaahirisha safari. Chiku:
Aahirisha basi mpenzi, tena ukitaka
twende kwangu .......
ENDELEA.....
Chiku akiwa wa kwanza aliingia bafuni ,akifatia na afande manyota,,tayari kwa safari ya kuelekea kwa chiku,,,AM; Umependeza saana ,
Chiku; mmmmmh umeanza
AM; kweli...
Afande manyota alimpongeza Chiku jinsi alivyo pendeza .
Kiukweli chiku alipendeza saana gauni lake fupi kwa nyuma kutokana na makalio yake yalio tengeneza kijimlima nakufanya gauni isifche vzuri mapaja yake yalio jazia vizuri,
Haikuwa mbali saana kwani walichukua taxi,,mwendo wa nusu saa wakawa tayari wamesha fka kwakina chiku,
Chiku; karbu mpenzi
AM; ahsante,,
(wakaingia ndani huku geti likijifunga taratibu baada ya chiku kuminya rimoti yake)
AM; unaishi na nani?
Chiku; Peke angu...
AM; Huogopi?
Chiku; mmmmh jaman sa kwanin niogope,
wakaingia ndani huku afande manyota akitupia kwenye sofa apo seblen,chiku akiingia chumban kuweka mizigo,
kutokana na uchovu Afande manyota usingiz taratbu ulimchukua ,,upepo na mwanga vikiambatana na na sauti yenye kujirudiarudia vilimfanya afande manyota atahamaki ,,,taratiiibu jitu lenye miraba minne llilionekana katka moja ya kona karbu na kabat kubwa la vyombo,,lilionekana kuwa na hasra ,,,moja kwa moja bila kupoteza muda afande manyota alipiga mlango kwakikumbo nakuanguka kama mzigo Puuuuuuuuh,,hakupoteza muda aliruka ukuta nakutua kwa kidevu kutokana na suruali yake kushikwa na nondo zilizochomekwa juu ya ukuta,alitulia kwa muda kwan ata macho yalikuwa yashatanda ukungu kutokana na kuburuza uso..
alitoka nduki ka mwizi wa kuku,,nakuelekea asiko kujua ,,
breki ya kwanza npale alipo kutana usokwa uso na tax akivuka moja ya barabara za mjini reokyst nchini rodesia, kutokana na tax kufunga break mapema ilipelekea afande manyota kuchubuka kdogo kwan ye ndo aligonga tax,
police walimchukua na kumpeleka kituo cha police kutokana na kuvunja sheria za barabara kuvuka pasipo na zebra cross.
alipanik saana kwan aliingia huko kinyemela, moja kwa alipelekwa lockup ,aliwekwa kwenye kichumba chenye mwanga hafifu na kidirisha kidogo cha juu, alipo tulia kwa muda aligundua akua pekeake mule ndan kwani aliskia mtu akikoroma alipo angalia kwa makini aligundua ni lile jitu alilo likimbia kulee kutokana na uwoga alipiga yowe..kitendo kilicho mfanya Chiku kutupa kisu pembeni
alitoka mbio kuelekea sebulen na kumkuta afande manyota akiwa amelala kwenye sofa kama alivo muacha apo ndipo aligundua kuwa afande manyota alkuwa ndotoni taratibu alimtiksa afande huku akimshika udevu wenye ndevu zilizochongwa kimtindo,,,taraatibu afande aliamka,
Chiku; baby...
AM;mmmmmmmh
Chiku; unajiskiaje
AM; safi.
Chiku; mbona unapga yowe jaman mmmh,,aya amka ukaoge chakula tayari...
Afande manyota akiwa bafuni
mara mlango unafunguliwa
Chiku akiw na Khanga alilo jifunga usawa wa matiti yaliyo jaa wastani,huku mapaja yakibaki wazi...
AM; vip..
Chiku;nmekuja tuoge wote jaman au hautaki..
aliongea chiku huku macho yakiwa yamelegea kama mtu aliyetoka usingizini...
MWISHO
0 comments:
Post a Comment