Search This Blog

MTOTO WA KARIAKOO


MTOTO WA KARIAKOO

BY DEOGRATIUS GIFTKIPAPA


Ilikuwa siku iliyokamilika ndani ya dar es salaam, mitaa ya kariakoo ilikuwa imejaa watu utasema mafuriko ya mto msimbazi bahari inapotapika.
Ilikuwa kawaida ya kariakoo kujaa watu lakini si kwa kiwango hiki, japo siku ilikuwa maalumu, tarehe 24 decenba, siku moja kabla ya sikukuu ya krismasi, watu walikuwa na taharuki. Kila duka lilikuwa limeweka kipaza sauti kutangaza ofa maalumu inayotoa kwa msimu huo wa sikukuu.
Top, jinsi, minisketi, vijora na nguo za watoto fasheni za kila aina, watu walipishana tu kuingia na kutoka kwenye duka hili na lile barabara za mitaa zilikuwa kama vichochoro kwa jinsi watu walivyokuwa wanapata shida kupishana ilikuwa shida. Miili lazima igusane hivi kabisa yani iwe unapishana mkaka au mdada wote mwendo ni ule ule.
Mtaa wa kongo ndio kabisa walikuwa wametandaza bidhaa zao chini kulikuwa na vijana wa kuimba wakipokezana kuzinadi bidhaaa hizo. Vijora vya matirio na mitindo ya kila aina, viatu vya skonkonko, simpo na maklkirikiri vyote vilikuwa hapo, wanawake walijazana kuchagua kile wanachotaka.
Pamoja na ubize wote huo wa siku hiyo King hakuacha kutupa jicho lake kwenye duka la upande wa pili kuiangalia sura ya mrembo aliyekuwa akiuza duka hilo. Lilikuwa duka la nguo za kike, na idadi kubwa ya wateja waliokuwa wanaingia ndani ya duka hilo ni wanawake tena zaidi wasichana masista duh.
Kila msichana alikuwa na uzuri wake na tena vile walivyokuwa wanapishana kuingia na kutoka ndani ya duka hilo ilitosha kusafisha macho kwa mwanaume yoyote yule lakini kwa king macho yake yalisafishwa na msichana mmoja tu na alikuwa tayari kuiona sura yake kwa siku nzima kama angepata nafasi hiyo. Jina lake lilikuwa ni happiness, mrembo huyo muda wote alikuwa na furaha kama lilivyo jina lake. Alikuwa na hili tabasamu zuri mno meno yake yalikuwa yanang’ara kwa weupe akiongea muda wote King alikuwa anatamani aisikie sauti yake laini na ngozi yake ilikuwa na weupe fulani hivi, unaweza kuhisi kwamba ni laini hata kama ujaigusa na alafu alikuwa na hii rangi ya mtume, weupe wake ulikuwa ni wa asili bila chunusi wala harara, kwa kweli happiness alikuwa ameumbika, si machoni pa King tu, bali kila mwanaume ambaye alibahatika kumuona lazima angehisi vile ambavyo mrembo huyo alivyokuwa tofauti.
Wakati mwingine king alikuwa anahisi mrembo huyo wala hata alikuwa hastahili kuwemo ndani ya duka kufanya biashara, alimvutia picha awe mahali fulani palipotulia, bila kelele za wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama machinga waliokuwa wanapita pita kila dakika nje ya maduka kutangaza bidhaa.
Alikuwa anastaili kuwa mahali fulani penye utulivu wa upepo mwanana kama vile kwenye fukwe ya bahari, na vile alivyokuwa na umbo zuri lililojichora hivi kama namba nane king alimvutia picha akiwa amevaa mavazi ya ufukweni juu kitopu fulani kifupi kilicho acha tumbo lake wazi na kitovu chake kilichovutia kinoma, chini mtandio alioufunga kwa mtindo fulani hivi wa kuupindisha mapaja yake meupe yalionekana vile ambavyo yalikuwa yanavutia, japo yalikuwa mawazo tu ambayo King alikuwa anayapata akiwa anamuangalia happiness lakini alikuwa anahisi kama vile ni kweli, happiness sio siri alikuwa anaichanganya akili ya king alikuwa hajui hata aseme nini mbele yake kila alipopata nafasi.
Wakati mwingine king alikuwa anahisi mrembo huyo wala hata alikuwa hastahili kuwemo ndani ya duka kufanya biashara, alimvutia picha awe mahali fulani palipotulia, bila kelele za wafanya biashara wadogo wadogo maarufu kama machinga waliokuwa wanapita pita kila dakika nje ya maduka kutangaza bidhaa.
Alikuwa anastaili kuwa mahali fulani penye utulivu wa upepo mwanana kama vile kwenye fukwe ya bahari, na vile alivyokuwa na umbo zuri lililojichora hivi kama namba nane king alimvutia picha akiwa amevaa mavazi ya ufukweni juu kitopu fulani kifupi kilicho acha tumbo lake wazi na kitovu chake kilichovutia kinoma, chini mtandio alioufunga kwa mtindo fulani hivi wa kuupindisha mapaja yake meupe yalionekana vile ambavyo yalikuwa yanavutia, japo yalikuwa mawazo tu ambayo King alikuwa anayapata akiwa anamuangalia happiness lakini alikuwa anahisi kama vile ni kweli, happiness sio siri alikuwa anaichanganya akili ya king alikuwa hajui hata aseme nini mbele yake kila alipopata nafasi.
MWENDELEZO WAKE:
“mambo!”
King alipata nafasi ya kuongea nae kwa mara ya kwanza, ratiba zao ziligongana kwenye mgahawa wa chakula rahisi fast food cafe, mara zote huwa king alikuwa anapendelea kula chakula chake hapo kwa kuwa chakula chao ni kitamu hadi kuufanya mgahawa huo kuwa gumzo mjini wala hakujua kwamba happy nae hiyo ndio sehemu yake ya kupatia lunch.
Na alipomuona akiwa ameketi kwenye meza ya peke yake akisoma menyu, hakusita kusogea karibu ili aone kama anaweza kupata nafasi ya kula chakula akiwa karibu na mtoto mzuri kiasi hicho.
“safi tu king, habari ya wewe?”
Alimuitikia salamu yake kwa sauti yake nyororo iliyokuwa inamkosha king kwa kila namna, shingo lake refu mithili ya twiga aliligeuza kumuangalia king usoni, tabasamu kwenye uso wake lilifanya meno yake meupe yaonekane vile yalivyokuwa yanang’ara.
“ume…lijuaje jina langu!?”
King alishangaa, wala isingekuwa ajabu kwa mrembo huyo kuitambua sura yake, kwa sababu maduka yao yalikuwa yanaangaliana, na happy alihamia kwenye mtaa huo kwa takribani miezi miwili hivi iliyopita mara baada ya Yule mpemba aliyekuwa anauza kanzu na baibui kuhamia oman kwa ndugu zake.
King wala hata hakujua kwamba happy angelijua jina lake kwa urahisi namna hiyo alidhani labda kungekuwa na muda maalumu wa kukutana kama huu na kujitambulisha.
“unamaanisha nini king wa pamba ? umeandika jina lako kwenye bango la duka iweje ushangae mtu kulijua?”
Alimshangaa, hata king mwenyewe alijishangaa, yani kweli alikuwa hajafikiria lile bango lake lenye picha yake kabisa akiwa ametupia pamba za kufa mtu lingekuwa kitambulisho chake tosha, hata yeye mwenywe alilijua jina la happy kupitia bango la hapinesss fashion lililokuwa limebandikwa kwenye duka lake likiwa na sura yake pia.
“ooohhh, hayo ni makosa yangu mrembo, niwie radhi, hata hivyo nimefurahi kujua kwamba mtoto mzuri kama wewe umetenga muda wako kusoma bango la duka langu.”
Sauti yake ilikuwa na mkazo fulani wakati anasema mtoto mzuri na macho yake yalionyesha hisia fulani zilizokuwa zimejaa mahaba tupu, wala hata hakuomba ruhusa ya kuvuta kiti na kukaa kwenye meza hiyo, alijikuta anaketi tu.
“eeehhh, makubwa! yani muda wote huu nilidhani wewe upo tofauti na wanaume wengine wa kariakoo. Lakini ajabu siku ya kwanza kuongea na mimi unaanza kwa kunisifia kwa kuniita mtoto mzuri, nyie watu mpoje?”
Hakuwa na furaha kabisa, na sauti yake aliikaza kwa ukali na uso wake ulikuwa na mkunjo ulioonyesha dhahili kwamba amekasirika lakini uzuri wake ndio kama ulikuwa umeongezeka mara mbili machoni pa king, kitendo kilichomfanya King achanganyikiwe kwa hisia, macho yake aliyatoa kwa mshangao wala hata hakuamini kama uzuri wote huo aliokuwa nao happy unaonekana mbele ya macho yake kwa ukaribu kiasi hicho, alivutiwa mno hata sauti yake japo yeye aliikaza kwa ukali ili kumuogopesha king lakini ndio kwanza ilimvutia hata zaidi.
“wala hata siamini kama kuna msichana mzuri kama wewe hapa duniani happy, sio siri unavutia mno.”
Alijikuta anatupa mawe, hakuwa na muda wa kukaa na kufikiri ni kitu gani ambacho happy alikiongea sekunde chache zilizopita, japo alimuonyesha dhahili kwamba hataki kusifiwa kwa uzuri wake kwa namna yoyote ile lakini king alizimwaga sifa hizo hivyo hivyo.
“wewe ni mwehu king, sijui hata umewezaje kukaa kwenye meza yangu, ooh samahani sio meza yangu ni ya café , hivyo ndivyo unavyotaka kusema eh? sawa ni makosa yangu, nitaondoka hapa na kuagiza take away nikalie ofisini, hilo ndilo unalotaka sio? nitakufurahisha wewe basi sawa kwa heri.”
Wala hata hakuwa na mzaha kwa chochote alichokisema , aliunyanyua mkoba wake na kuanza kupiga hatua za haraka kutoka.
“oh ,mungu wangu! oh mungu wangu!”
Aliganda hapo kwenye kiti akimuangalia vile happy alivyokuwa anaondoka, alikuwa amemkasirikia yeye ndio, na mwendo wake wa hasira ulimfanya apige hatua za hovyo lakini bado uzuri wake ulikuwa pale pale tena sio uzuri wa kugushiwa kwa kurembwa na ile miendo ya kisita duu, shepu yake ndio ilioneka vizuri vile mwili wake ulivyokuwa na umbo la kujikata, kiuno cha dondora na hipsi za mapaja yake ule mtikisiko akipiga hatua moja na nyingine ilikuwa hatari tupu.
“wala hata siamini kama kuna msichana mzuri kama wewe hapa duniani happy, sio siri unavutia mno.”
Alijikuta anatupa mawe, hakuwa na muda wa kukaa na kufikiri ni kitu gani ambacho happy alikiongea sekunde chache zilizopita, japo alimuonyesha dhahili kwamba hataki kusifiwa kwa uzuri wake kwa namna yoyote ile lakini king alizimwaga sifa hizo hivyo hivyo.
“wewe ni mwehu king, sijui hata umewezaje kukaa kwenye meza yangu, ooh samahani sio meza yangu ni ya café , hivyo ndivyo unavyotaka kusema eh? sawa ni makosa yangu, nitaondoka hapa na kuagiza take away nikalie ofisini, hilo ndilo unalotaka sio? nitakufurahisha wewe basi sawa kwa heri.”
Wala hata hakuwa na mzaha kwa chochote alichokisema , aliunyanyua mkoba wake na kuanza kupiga hatua za haraka kutoka.
“oh ,mungu wangu! oh mungu wangu!”
Aliganda hapo kwenye kiti akimuangalia vile happy alivyokuwa anaondoka, alikuwa amemkasirikia yeye ndio, na mwendo wake wa hasira ulimfanya apige hatua za hovyo lakini bado uzuri wake ulikuwa pale pale tena sio uzuri wa kugushiwa kwa kurembwa na ile miendo ya kisita duu, shepu yake ndio ilioneka vizuri vile mwili wake ulivyokuwa na umbo la kujikata, kiuno cha dondora na hipsi za mapaja yake ule mtikisiko akipiga hatua moja na nyingine ilikuwa hatari tupu.
MWENDELEZO WAKE:
Ilikuwa siku ya aina yake kwa king, alikuwa na furaha isiyokuwa ya kawaida, si kwa sababu biashara yake ilienda vizuri, bali ni ile nafasi aliyoipata yakukutana na happy ana kwa ana na kuongea nae. japo maongezi yao yaliishia vibaya king bado aliona hiyo ni hatua moja kubwa mno aliyopita kwa mtoto mzuri kiasi hicho.
Kichwani mwake bado alikuwa anaiona sura ya hapness, tabasamu lake lililokuwa na mvuto wa aina yake na hata vile alivyoikunja sura yake alipo mkasirikia king kila kitu kilikuwa kinamvutia kinoma. Siku nzima akiwa dukani kwake bado macho yake yalikuwa yanakodolea upande wa pili ndani ya duka la happness, alimuangalia vile alivyokuwa anaongea na wateja wake, vile alivyokuwa anawatabasamia na kuwaonyesha kwa vitendo mtindo wa mavazi yake kama magauni, sketi, vitopu vile nguo hizo zilivyobuniwa kwa mitindo ya kisasa, mwili wake ulikuwa unatikisika hivi akipiga hatua kulekea upande huu na ule, uzuri wake ulikuwa wazi wazi kabisa king alijikuta anazidi kuchanganyikiwa kwa hisia alitamani kutoka dukani kwake na kwenda ndani ya duka la happness walau aongee nae maneno mawili matatu lakini alipokumbuka mara ya mwisho kwamba maongezi yao yalipelekea happy kumkasirikia hadi kuondoka kwenye mgahawa na kumuacha peke yake alijikuta anasita, hakutaka kitendo kama hicho kitokee hasa akiwa ndani ya duka lake huenda maamuzi yake yakawa mabaya zaidi.
Muda wa kufunga duka ulipofika king alikuwa pale akimshuhudia happy na wafanyakazi wake wakifunga duka lao na kisha happy aliingia kwenye gari yake na kuondoka kwa mwendo wa taratibu kama unavyojua msongamano wa watu kariakoo, king nae aliwaacha wafanya kazi wafunge duka na kutoka zake, alienda mpaka nyumbani kwake, aliliegesha gari lake kwenye maegesho yake binafsi na kwenda moja kwa moja bafuni, alivua nguo zake zote na kufungulia bomba la mvua maji yalikuwa yanamdondokea mwilini akiwa ameyafumba macho yake kwa hisia, picha ya happness ilikuja tena kwenye kichwa chake, alijikuta anatabasamu yeye mwenyewe ndani ya bafu hilo na kuvutia hisia kama amepata nafasi ya kumshika happiness mkono wake na kumsogeza karibu yake, karibu kiasi cha kutosha ngozi zao kugusana, alihisi kama mkono wake umezunguka kukishikilia kiuno cha happiness kwa nguvu na vile ambavyo mtoto alikuwa na tako lililobenuka hivi kimtindo king alikuwa anahisi kama vile vidole vyake vimeligusa hivi tako hilo na kulipapasa papasa taratibu, maji toka kwenye bomba la mvua yaliurowesha mwili wa happness pia lakini kwake yalitiririka hivi kati kati ya mgongo wake pale kwenye mfereji wa uti wa mgongo taratibu yarishuka yakiwa na povu fulani zito, pale king alipompapasa hivi na ule ulaini wa povu hilo la sabuni murua, mtoto wa kike alilalama kwa sauti laini, mdomo wake aliuacha wazi hivi na kuutikisa ulimi wake kwa hisia.
King alipoiona sura hiyo na vile mrembo alivyokuwa anajihangaisha hivi mwili wake alijikuta anazidi kupagawa kwa hisia, uume wake ulisimama hivi na kunesa nesa kuyagusa mapaja laini ya mtoto happy, wala hata hakujua ni nini afanye mwili wake ulisisimka kwa hisia moja ya ajabu wala hata alikuwa haamini chochote kati ya vitu vilivyomtokea kwa muda huo, kuwa karibu kiasi hicho na happiness ilikuwa ndoto kwake tena ndoto ya mchana kweupe.
“Piiiiiiiiiiiii. Piiiiiiiiiii.”
Ilisikika honi ya gari, ikibonyezwa mfululizo na alafu kengele ya getini, king alishtuka, wala hata hakuamini kama alikuwa kwenye mawazo, kila kitu alichokuwa anahisi kuhusu happness kuwemo ndani ya bafu hilo akioga nae yalikuwa ni mawazo.
“ooh shit, sijui ni mpuuzi gani huyo ananisumbua muda huu.”
Alilaani, alikuwa amependezwa na yale mawazo kiasi kwamba alitamani yangekuwa yanaendelea, haraka alitoka bafuni na kujifuta maji kwa taulo haraka, aliingia kwenye chumba kinacho kontroo kamera za cctv na kuangalia getini, aliliona gari na mtu aliyekuwa anabisha hodi, alikuwa ni mdogo wake abduli , waliongea asubuhi ya siku hiyo kwamba mkesha wa krismass angekuja nyumbani kwake ili wakeshe wote mkesha wa krismass lakini tayari alisha sahau, tangu akutane na happness pale kwenye mgahawa kichwa chake kimekuwa kikifanya kazi tofauti kabisa.
Alibonyeza rimonti kontroo ya kufungulia geti, haraka geti lilianza kufunguka na abduli aliingia ndani ya gari na kuliingiza ndani alafu geti lenyewe lilijifunga.
“vipi braza? Una tatizo gani? nimebisha hodi mpaka nikawa na wasi wasi kama umekufa humu ndani.”
Abduli alianza kuongea kwa masihara akiwakwenye korido ya kuingilia chumbani kwa king, pamba zake nazo zilikuwa moto utafiri king wa pamba mwenywe, mguuni alikuwa amepigilia snika moja matata toka maandishi matatu USA hatari, tisheti na jinsi yake vyote vilikuwa si vya nchi hii.
“Nlikuwa naoga mdogo wangu, alafu kuna mambo fulani yalikuwa yananichanganya toka ofisini nilikuwa nayafikiria, si unajua tena hizi shughuli zetu.”
Aligeuka kumuangalia mdogo wake akiwa anachana nywele zake.
“hakuna cha shughuli zetu, braza niambie kama umeotea mchuchu mpya unakuburuza, nayajua haya mambo kaka, huwezi kuchomoa.”
Abduli alikuwa anamjuua kaka yake vizuri.
“sawa basi tuseme na hiyo pia, lakini niko poa sasa, umepanga nini kwenye mkesha wa leo?”
Aliyarusha maongezi, ki ukweli king hakutaka kuzungumzia sana suala hilo, kwa sababu happy hakuwa sawa na wasichana wengine wote aliowahi kukutana nao kwenye miasha yake, alikuwa amekamilika kiasi kwamba aliona hata haifai kumzungumzia na mdogo wake kama vile anavyowazungumzia wasichana wengine, alikuwa ni spesho kwake.
”hapana, hapana braza, hatuwezi kuongelea mipango mingine wakati ujaniambia kuhusu huyo mtoto, nataka kujua kumhusu muonekano wake ukoje, mmmh, niambie braza.”
Alimbana, king hakuwa na kona nyingine ya kutokea, kabla hajasema chochote kumhusu happy, sura yake ilitokeza tena machoni pake na tabasamu lake lilitawala uso wake wote.

0 comments:

Post a Comment

Blog