MTUNZI: GIFT KIPAPA
SI UNA MATE…? NIMEKUSUSIAKWA UFUPI:
Huu ni upande mwingine wa toto la kishua , stori ile ile mazingira yale yale lakini kitu tofauti katika simulizi hii ni pale unapokutana na simulizi ya makaka wa mtaa , maisha yao ni tofauti kidogo,