Search This Blog

BEKI TATU WA KITAA

 



BEKI TATU WA KITAA 
BY GIFT KIPAPA

MWANZO WA STORI
Bujonde kyela, mkoani mbeya katika kiwanja cha mzee mwakikalu, msichana mmoja aliyejifunga khanga yake shingoni alikuwa ameshika fagio akifagia uwanja huo , vumbi lilitimuliwa na fagio hilo na kupeperuka kurudi nyuma.
Kichwa chake alikuwa amekiinamisha chini akiimba wimbo wa kinyakyusa .
‘ twinome twinome , akanyama nu mpunga twinome chuba!’
Maana yake ilikuwa ni ‘tujichane, tujichane wali na nyama , tujichane’, ulikuwa wimbo ambao wakazi wa huko walikuwa wakiuimba wakati wa kuvuna mpunga mashambani.
Na kweli walikuwa wakijichana , jungu kubwa lilinjikwa la wali na nyama za kutokota.
Kwa mbali alionekana mwana mama mmoja aliyekuwa amevaa dira la gharama usoni alikuwa amejiremba kwa wanja na lipustiki , cheni ya dhahabu ilikuwa ikining’inia kwenye shingo lake huku mkononi akiwa ameshikilia simu moja kubwa iliyokuwa na kioo kipana.
“habari yako binti.”
Alimsalimia msichana huyo mara baada ya kufika kwenye nyumba hiyo.
“nzuri, shikamoo.”
Alimuitikia kwa kubonyea kidogo magoti yake na kisha kulisimamisha fagio lake ili kumsikiliza kama ana lingine anataka kumweleza .
“sijui hapa ndio nyumbani kwa mzee mwakikalu.”
“Ndio lakini baba katoka yuko shamba kuvuna.”
Alimjibu binti huyo.
“najua , nilikutana nae jana , mimi ni dada yake mpemba , Yule anae nunua mpunga kwa baba yako sijui unamjua?”
“ndio, namjua sana.”
Aliongea msichana huyo huku akitabasamu.
“ah sawa bila shaka wewe ni subi, si ndio?”
“ndio ni mimi.”
Subi aliitikia .
“sasa sijui kama ulidokezwa , safari yangu kuja huku toka dar nilikuwa namtafuta dada wa kunisaidia kazi nyumbani kwangu , mpemba ameniambia kwamba wewe una bidii na adabu, sikutaka nikurupuke tu na kukusafirisha manaake wasichana wa siku hizi wana balaa lao , ndio maana nimekuja hadi huku kwenu , nimeongea na baba yako na mama yako pia na sasa ndio nilikuja kwako ili nikuone.”
Aliongea mwana mama huyo huku akimuangalia subi ambae kwa muda wote huo kichwa chake kilikuwa kimeinama chini. Huku vidole vyake vikichezea chezea fagio hilo.
“usiniogope mdogo wangu , mimi sina matatizo kabisa , na uzuri nimekupenda , kesho tutakwenda wote dar ili ukaanze kazi sawa eh?”
Aliongea mwana mama huyo na kumfanya subi atabasamu ghafla , nakukinyanyua kichwa chake kumuangalia mwana mama huyo kwa furaha.
“sawa , ahsante dada.”
Alimshukuru.
Kwa kweli tarifa hiyo ilikuwa ni ya furaha mno kwake, siku zote alikuwa anatamani kuishi dar es salaam lakini hakujua fursa hiyo ataipata vipi, rafiki zake waliokuwa wanaishi huko waliongea mengi ya kuvutia kuhusu dar , ikiwemo daraja kubwa la manzese lililojengwa juu ya bara bara kwa ajili ya watembea kwa miguu , subi alitamani nae pia kupanda katika daraja hilo siku moja na kupiga picha kama ambazo walipiga marafiki zake hao huku nyuma yao yakionekana magari ya kipita pamoja na baadhi ya maghorofa yaliyo jirani na hapo.
Kulikuwa na mambo mengi ambayo subi alikuwa akiyavutia picha kuhusu jiji la dar es salaam na sasa anakwenda kuyashuhudia mwenyewe.
MIEZI MITATU BAADAE:
Chungu kilikuwa kinatokota maji yalikuwa yakiunyanyua nyanyanyua mfuniko wa sufuria hilo lililokuwa juu ya jiko la gesi , baadhi ya maji yalimwagika mwagika na kulowesha sehemu fulani ya jiko hilo , ni kama vile ndani jiko hilo hakukuwa na mtu wa kukiangalia chungu hicho kumbe alikuwemo , na alikuwa anakiona kila kitu kinachoendelea hapo lakini hakuweza hata kuonyoosha mkono wake kukigusa chungu hicho , kichwa chake alikiinua juu kwa hisia akihema nusu nusu , macho yalimtoka kwa hisia , huku matiti yake akiwa ameyainua juu na kuyafanya acheze cheze kila alipotikisika tikiska juu ya meza kubwa iliyokuwa inatumika kukatia mboga mboga.
Mapaja yake alikuwa ameyatanua hivi huku matako yake yakiwa yamejimwaga juu ya meza hiyo alafu huyu mwanaume wa makamo alikuwa ameutoa ulimi wake akiyanyonya mapaja hayo kwa uchu ile mbaya.
Subi alijibenua benua na kulalama kwa hisia huku akikichezea kichwa cha mwanaume huyo aliyekuwa akiusogeza ulimi wake kati kati ya mapaja yake huku akiuchezesha chezesha kwa hisia.
Alikuwa mume wa bosi wake siku hiyo alitoroka kazini bila sababu ili amkute subi akiwa peke yake hapo nyumbani .
“bosiii , ahh , ngoja niipue mboga baaasiiiiiii.”
Aliongea subi kwa kulalama huku akikigandamiza kichwa cha bosi yake kati kati ya mapaja yake ili aendeleee kumnyonya chini zaidi.

0 comments:

Post a Comment

Blog