Search This Blog

NJOO … MAMA HAYUPO

 



NJOO … MAMA HAYUPO
BY D.G.LWASYE ‘GIFT KIPAPA’

MWANZO WA STORI:
Mtaa ulikuwa kimya ndege tu ndio waliosikika wakiiimba kila upepo ulipovuma , gari moja la kifahari lilikatisha katika mtaa huo na kuyafanya majani ya miti yaliyokuwa yamedondokea barabarani yapeperuke kimo Fulani gari hilo lilipopita majani hayo yalidondoka chini tena.
Na harafu ukimya ulitanda tena . kando kando ya bara bara hiyo kulikuwa na nyumba za kifahari zilizozungushiwa kuta nene, pamoja na bustani za maua mazuri ya kupendeza.
Dakika kumi na tano baadae bajaji iliiibuka katika mtaa huo ilkwenda mwendo waka kasi , japo haikuwa kasi kama ile ambayo lilipita lile gari, nyumba ya kwanza ya pili ya tatu , bajaji hiyo ilipunguza mwendo , na kisha huyu mvulana aliyekuwa amevalia ovaloli lililoandikwa clean! Clean! Alishuka , bajaji hiyo iliondoka na yeye alipiga hatua kusogelea geti kubwa lililokuwa mbele yake.
Alibonyeza kengele na kusubiri kwa sekunde kadhaa kisha sauti kutoka kwenye kipaza sauti cha kengele hiyo ilisikika.
“jina lako nani?na ni nini kimekuleta hapa?”
Ilisikika sauti ya mwanamke .
“shadrack , natoka katika kampuni ya usafi , clean clean.”
Aliongea mwanume huyo.
“oh shadrak ! ingia nilikuwa ninakutarajia.”
Aliongea m,wanamke huyo na kihs geti lilifunguka lenyewe , shadrack aliiingia na kisha geti hilo lilijifunga.
Nyumba hiyo kubwa iliyokuwa na bustani nzuri ilimfanya shadrack astaajabu kwa dakika kadhaa.
Alipiga hatua kuelekea ulipomlango wa kuingilia ndani , na kmwkwenye mlangio huo kulikuwa na mwana mama wa makamu , aliyekuwa anamsubiri .
‘nilifikiri watawatuma wawili , utaweza kufanya kazi zote opeke yako?”
Aliuliza mwanamke huyo huku akimuangalia shadrack usoni.
“ndio maana wamenituma mwenyewe.”
Aliitikia shadrack, huku akimuangalia mwana mama huyo usoni mara baada yta kufika pale aliposimama , macho yao yaligongana na uso wa mwanamke huyo ulikuwa na tabasamu lililofifia.
“sawa shadrsk , nataka kuuona uhodari wako , stoo ipo kwule kwenye nyumba ya nje mlango wa tatu hii ni funguo yake , utaopata vuifaa vyote unavyohitaji.’
Aliongea mwana mama huyo.
“ahsante bibie.”
Shadrack aliitikia huku akipokea funguo hizo.
Alitembea kuelekea kwenye nyumba ya nje iliyokuwa umejitenga kwa umbali Fulani hivi toka ilipo nyumba kubwa , nia ya kuelekea huko ilikuwa imesakagfiwa kwa zege huku pembeni kukiwa na viwanja vyenye nyasi zilizokatwa vizuri na mwanaume ambae alikuwa akishughulika na mashine ya kukatia nyasi upande huo wa nyumba ya nje , mashine yake ilikuwa ikipiga kelele lakini mwanaume huyo alikuwa amezoea .
Upande mwingine kulikuwa na mpira wa maji uliokuwa umefungwa kifaa cha kumwagilia kilichokuwa kikirusha maji kwenye majani hayo kila upande zamu kwa zamu.
Shadrack alipofika kwenye nyumba hiyo alisogelea mlango alioelekezwa na kufungua , alipoingia ndani alijikuta anastaajabu, kila kifaa kinachotumika kwaajili ya usafi kilikuwa humo , kuna baadhi ya vifaa hata ofisimni kwao havikuwemo, kwa kweli hakuamini vifaa bora kama hiovyo vinawea kufungiwa ndani kusubiri kufanya kazi ya nyumba moja kwa muda wote huo , kila kifaa alichokiona humo kilikuwa ni ndoto ya mfanya usafi yoyote ulimwenguni hata bosi wake alikuwa akiviota vifaa hivyo.
“unahitaji msaada?”
Ilisikika sauti hiyo iliyomshtua shadrak. Aligeuka haraka kumuangalia mtu aliyeongea .
Alikuwa ni yule mwanaume aliyemuona kwambali akikata nyasi na mashine.
“oh , Mungu wangu umenishtua.”
Aliongea shadrack na kumuangalia mwanume huyo usoni.
Mwanaume huyo alimuangalia nae pia.
‘mambo , naitwa shadrack.”
Aliongea shadrack.
“safi shadrack , vipi unahitaji msaada?”
Aliongea tena.

Aliongea tena.
MWENDELEZO WAKE:
‘msaada wa nini?”
Shadrack aliuliza.
“msaada wa nini?”
“chochote mimi ni mchapa kazi sana hii mikono ni kama mashine.”
Aliongea mwanaume huyo.
“vipi kuhusu majani yako?”
“yale hayana tatizo , huwa nayakata kila siku, siwezi kuwa tatizo kama nikikatisha kuyakata leo sababu ya hili shavu.”
“ahsante jamaa , lakini kazi yangu inatakiwa kufanywa na maprofeshono.”
Aliongea shadrack.
“profeshono wapi si unaenda kupiga deki na kufagia ndugu yangu mbona unataka kunibania dili.”
Aliongea mwanaume huyo kwa sauti ya kulalamika.
“kama unafikiri ni kupiga deki tu , kwa nini haujaitwa wewe?”
Aliuliza shadrack kwa ukali.
“ sawa nisamehe jamaa, lakini nahitaji hiyo nafasi tafadhari, unaweza kunitoa hata buku kumi tu.”
Aliongea mwanaume huyo kwa kubemnbeleza.
“nafanya kazi kwenye kampuni jamaa, malipo yote yamefanyika ofisini , mimi nalipwa kwa mwezi, kwa hiyo hata ukinisaidia sitaweza kukulipa.”
Aliongea shadrack, mwanaume huyo alimuangalia kwa dharau , na kisha aliondoka zake na kumuacha shadrack kwenye stoo hiyo akipakiza vifaa vya kufanyia kazi katika toroli , mashine ya kukatia nyasi ilisikika tena , na shadrack alipoangalia kwenye bustani alimuona mwanume huyo akiendelea kuisukuma mashine hiyo.
Nae pia alitoka nje ya stoo hiyo akilikokota toroli la vifaa kuelekea kwenye nyumba kubwa.
Alipofika kwenye mpira wa maji alishangaa kuona umevutwa ghafla na maji kuanza kumrukia aliendesha toroli haraka na huku nyuma alkisikia sauti ya yule jamaa akicheka. Alikuwa ni yeye aliyeuvuta mpira huo ili kumlowesha shadrack , hakumuamini pale aliposema anafanya kazi kwenye kampuni , kichwani mwake alijua shadrack ameamua kumbania tu , na ni kweli alimbania , kwani kazi za nje siku zote zinakuwa ni kazi binafsi ambazo huwa wanazifanya siku za off , kila kitu anachokipata hapo kinakuwa ni juu yake na kiasi kidogo anamtoa supervisor wake kwa kumpa dili.
“binti yangu bado amelala, gonga mlango ukifikia chumba chake kina stika imeandikwa anie.”
Aliongea mwana mama huyo akiwa ameketi kwenye viti vilivyokuwa kwenye bustani hiyo akisoma kitabu.
“hapana shaka bibie.”
Shadrack aliitikia na kisha kuendelea kulivuta toroli lake , kuelekea mlangoni.
Aliingia katika sebule ya nyumba hiyo nakuiangalia jinsi ilivyo kubwa kwa kweli ilikuwa inaweza kumtia uvivu yoyote yule akiambiwa kwamba anatakiwa kufanya usafi katika nyumba hiyo , lakini kwa shadrack mbele ya vifaa hivi alivyokuwa navyo jumba hilo ilikuwa si lolote , kwanza alikuwa na shauku ya kuanza ili avifaidi vifaa hivyo.
Alinza kusafisha sebule hiyo taratibu huku akisikiliza muziki katika head phone aliyoichomeka kwenye simu yake , ndani ya muda mchache tu alimaliza kila kitu ndani ya sebule hiyo , kila kitu kiling’aa na kupamngwa kama ilivyotakiwa . shadrack alilivuta toroli lake na kuanza kuelekea vyumbani, jaapo kwanza alinza kusafisha jiko na stoo ya ndani , hivyo navyo havikutumia muda mrefu , japo ndivyo vilikuwa vichafu zaidi .
Chumba cha kwanza cha kulala kilikuwa cha mwana mama huyo , ilikuwa ni master room ya kufa mtu , kila kitu kilichopaswa kuwemno chumbani kilikuwemo, utafikiri vyumba vya hoteli vyenye hadhi ya kukaliwa na marais, shadrack hakutaka kushangaa sana , alianza kusafisha chumba hicho na kupanga kila kitu kama kilivyotakiwa kupangwa.
Alitoka chumba hicho na kuingia kingine , nacho hicho alisafisdha pia , alipotoka ndipo alipokutana na hiki chumba kilichobandikwa stika yenye jina la anie pamoja na stika zingine tofauti zikionya kutoingia ndani ya chumba hicho kama si mhusika, mfano hii iliyoandikwa members only , maneno ya kiingereza yaliyomaanisha wanachama pekee ndio wanaoruhusiwa kuingia .
Shadrack aliyaangalia maandishi hayo lakini wala hata hakuyajali.
‘mimi sio mwana chama lakini , mfanya usafi.”
Alijisemesha mwenyewe na kisha kufungua mlango wa chumba hicho na kulivuta toroli lake ndani.
Alipoufunga mlango huo kwa ndani na na kugeuka, alichanganyikiwa , hakukuwa na kitu chochote cha kutisha bali anie akiwa kitandani amelala fofofo , hakujifunika chochote wala kuvaa chochote , alikuwa uchi , uchi wa mnyama , shadrack alikuwa akiona kila kitu, yani kila kiungo cha anie kilikuwa wazi , paja lake lililokuwa limejaa jaa ile kinyama , tako lake , hiha lilikuwa limetawanyika na kutemgwa na mstari wa ikweta huku likiwa limebenuka hivi kwa juu na kuifanya kuma yake ionekane japo alikuwa amelala kifudi fudi.


0 comments:

Post a Comment

Blog