Search This Blog

SHUGA MUMY LA KITASHA

 



SHUGA MUMY LA KITASHA
By gift kipapa


KWA UFUPI:
pale mfanya usafi wa jengo kubwa la makazi ya watu wenye hadhi ya nyota tano alipo ingia kwenye chumba cha jimama hili la kizungu na kulikuta likiwa limefungua sauti ya juu ya muziki wa taarabu na kuyakata mauno , alijikuta anachanganyikiwa , jimama hili lilimualika kujumuika kucheza nae , akatupa vifaa vyake kule na kuanza kumbashia jimama huyo , kila kitu kilibadilika tokea hapo kazi na kila kitu na mambo mengine mengi yakuvutia pale jimama huyo alipoamia uswahilini pamoja na mfanya usafi wake baada ya mfanya usafi huyo kutimuliwa kazini kwa kosa la kufanya mapenzi na mteja. Kwa kweli unahitaji kusoma stori hii na kuona vituko vya jimama hilo , ni balaa.
MWANZO WA STORI :
Story hii yote tayari imeshachapishwa katika kichaka cha simulizi app Soma yote sasa buree katika kichaka cha simulizi app, ingia play store sasa install app ili uendelee kusoma stori hii , au bonyeza link hiyo hapo chini kupakua sasa.


‘Taa, taaa , taaa.’
Sauti ya mshale wa saa kubwa iliyokuwa kwenye korido iliyo katika ghorofa ya tatu kwenye jengo kubwa la makazi ya watu lenye ghorofa zipatazo kumi hivi.
Nilikuwa nikisukuma dekio ili kuifuta sakafu ya korido hiyo na kisha kulikausha deko hilo katika ndoo ya magurudumu ili niliyokuwa nikiivuta kwa fimbo ya dekio hilo kila nilipopiga hatua na kusogea sehemu nyingine ya kufuta.
Vyumba vingi vilikuwa vimefungwa kwa kuwa wakazi wengi wa jengo hilo ni wafanyakazi , huwa wanarudi jioni jioni hivi.
“we shadrack! njoo futa futa na kwangu pia.”
Ilisikika sauti moja ya mwana mama wa kizungu aliyeufungua mlango wa chumba chake na kutoa kichwa chake kunichungulia. Mkononi alikuwa ameshika sigala aliivuta kwa madoido huku jicho lake akiwa amelirembua
“sawa hakuna tatizo.”
Nilimuitikia huku nikimuangalia usoni, aliniminyia jicho na kisha kupuliza moshi wa sigala hiyo kuelekea kwangu taratibu, niliuangalia moshi huo niliuangalia moshi huo jinsi ulivyokuwa unakuja kuelekeo wangu wa hisia .
Kisha mwana mama huyo alicheka kicheko laini na kuingia ndani.
Mlango wake aliufunga kwa kuubamiza.
“uuuh.’
Nilishusha pumzi kwa nguvu, kusema kweli mwana mama huyo amekuwa akiniingiza majaribuni kwa kitambo kirefu sasa , kila aliposhinda nyumbani basi kwangu ilikuwa ni shida tupu.
Kama ingelikuwa ni idhini yangu basi nisingekuwa nafanya kazi kwenye chumba chake ili kuepuka shari lakini ndio hivyo hayo yalikuwa ni majukumu yangu nilikuwa na wajibu wa kusafisha chumba cha kila mkazi wa jengo hilo wakati wowote mwenye chumba atakaponiitaji.
Niliendelea kuisafisha korido hiyo na kisha nikabeba vifaa vyangu na kubisha hodi kwenye mlango wa mwana mama huyo wa kizungu.
Niligonga kwa sekunde kadhaa lakini wala hakuiitikia hodi yangu nikaanza kuwa na wasi wasi labda anaweza kuwa amepata tatizo Fulani humo ndani.
Nikajaribu kuufungua mlango huo, ulikubali kufunguka bila wasi wasi wowote na ulipofunguka ndio nikajionea mambo.
Sauti kubwa ya muziki wa mwambao ilisikika mpaka nikaogopa na kuufunga mlango haraka.
Nikaa nje kwa sekunde kadhaa huku nikihema kisha nikaufungua mlango huo tena nikiwa nimejiandaa kukabiliana na kelelele hizo.
Ulikuwa ni muziki wa taarabu mzee yusufu pamoja na kundi zima la jahazi modern taarabu na kibao chao kile chenye kibwagizo kinacho sema piga bastola…. Paaa.
Mwana mama huyo wakizungu alikuwa akiucheza muziki huo huku akitikisa tikisa matako yake akiwageza jinsi wanawake wa kiswahili walivyokuwa wakitikisa matako yao wauchezapo wimbo huo, aliunyanyua mguu wake mmoja ili kulifanya tako lake libenuke kwa juu huku akilichungulia jinsi lilivyokuwa likitikisika.
“wela wela.”
Aliongea maneno hayo mwana mama huyo wa kizungu kishambenga kama wanavyofanya wanwake wa Kiswahili wakikunwa na muziki kwenye vigodoro ama kwenye kumbi za muziki zinazopiga muziki wa taarab.
Aliendelea kulitikisa tako lake kwa staili ile ile ya kuinua mguu wake mmoja juu. huku akiendelea kulitikisa tako lake nywele zake zikawa zinaruka ruka huku na kule.

0 comments:

Post a Comment

Blog