Search This Blog

KITAA FLANI

 



KITAA FLANI 
BY GIFT KIPAPA “Gifted one.”

Kando kando ya bara bara ya mtaa, wanawake kadhaa walikuwa wamepanga ndoo zilizokuwa juu ya stuli zikiwa zimefunikwa kwa mifuniko pamoja na magazeti kwa ndani zilikuwa na vitafunwa, vya aina mbali mbali pamoja na waya wa kuchomea.
Kila mmoja hapo alikuwa na jiko lake la mkaa akipika vitafunwa vyake , mwenye kupika maandazi , sijui chapati, mihogo, viazi na ndizi wote walikuwa hapo.
Masufuria yaliyokuwa yameinjikwa katika majiko hayo yalikuwa na mafuta yaliyokuwa yanatokota,
Sauti ya mlio wa chaaaa chaaa chaaaa chaaaa ulikuwa unasikika wakati vitafunwa hivyo vikichomwa ndani ya mafuta hayo.
Watu wa rika mbali mbali walikuja hapo na kununua vitafunwa walivyovipenda wakiwa wameshikilia bakuri za kubebea, kuna wengine walikuja mikono mitupu na kufungashiwa kwenye magazeti.
Boda boda zilipita zikiwa na wateja walikuwa wanatoka majumbani kwao kuelekea mjini kwenye mishe na wengine ndio walikuwa wakiingia makwao mida hiyo.
Maduka yaliyokuwa kuwa kando kando ya bara bara hiyo nayo pia yalikuwa akishughulika na wateja mbali mbali, wenye kununua sukari ya kupima , mafuta ya taa, majani ya chai, viberiti , vocha , huduma zote zilikuwa zinatolewa.
Wale wadada wanaouza vitafunio muda wote walikuwa wakihudumia wateja wao huku wakipeana michapo ya mtaa. Kila mmoja alileta umbea wake na walilichambua jambo moja baada ya jingine, jinsi walivyokuwa wanachambua matukio ya hapo mtaani unaweza sema walikuwepo kushuhudia kila eneo.
Walisema watu vibaya hadi kupeana michapo ya siri za ndani ya majumba ya watu utadhani wameweka kamera kwenye kila nyumba iliyopo kwenye mtaa huo.
Stori zilipowanogea waliacha hata kuwahudumumia wateja wao na kugongesha mikono yao kishambenga.
Maneno mengine yaliwahusu wateja wao, walipomaliza tu kuwahudumia na kuagana nao kwa maneno matamu, baada ya kuwapa kisogo tu waligeuza habari yao mpya , wakati mwingine wala hata wahakuwa na cha maana cha kuwazungumzia , waliwachambua mavazi waliyovaa , shepu za miili yao au hata mtindo wa nywele, ilikuwa balaa kwa kweli.
Wakati wapishi hao wakicheka vicheko vya kichambenga na kuendelea kuhudumia wateja wao msichana mmoja alionekana akija kwa kasi tokea kwenye kichochoro chenye mtaro unaopitisha maji machafu,
Alikuwa amelishikilia dira lake akitembea huku akijisemesha maneno Fulani ambayo hata yalikuwa hayaeleweki, muda wote alikuwa analinyanyua nyanyua dira lake alilokuwa amelishikilia ili kulinyanyua juu ili asilikanyage kwa bahati mbaya kutokana na hatua zake alizokuwa anazirusha hovyo hovyo, aliruka mtaro uliopita pembeni ya bara bara hiyo na kisha kuanza kuvuka bara bara hiyo upande ule ambao wale wauza vitafunwa walikuwa wamepanga biashara zao.
“eeehh , shoti leo unalo , zubeda huyo anakuja sijui ameshapata umbea.”
Aliongea mmoja kati ya wasichana hao mara baada ya kumuona zubeda akitembea huku akimuangalia mmoja kati ya wasichana hao kwa hasira kinoma.
“muache tu alete hicho kichaa chake, aliyemwambia hapa mjini kuna mboo ya peke yako nani? Anipishege mie?”
Alijibu kwa jeuri msichana aliyekuwa pembeni ya Yule aliyeongea mwanzoni huku akimuangalia zubeda kwa dharau na hasira hasira zake , alikuwa hana cha wasi wasi wala nini , ni kama vile alikuwa na uhakika kwamba anaweza kuzimudu hasira za zubeda.
Wenzake walicheka vicheko vya kishambenga na kugongesha mikono yao.
“haya Amina si yetu macho, mama.”
Aliongea mmoja kati ya wasichana hao huku wakimuangalia zubeda vile alivyokuwa anazidi kusogea kwenye eneo hilo.
Amina aliinamisha kichwa chake na kuzuga kugeuza vipande vya mihogo vilivyokuwa vinachomwa kwenye mafuta.
“nataka mihogo ya mia mbili.”
Aliongea mtoto mmoja mara baada ya kusogea jirani na ndoo ya Amina, amina alipokea hela yake na kuanza kumhudumia alichoma vipande vya mihogo kwa waya na kisha kuviweka kwenye gazeti, wakati anatia chachandu na kachukmbari iliyokuwa kwenye bakuri ghafla kijiko cha kuchotea kachumbali kilimpokonyoka , vipande vya mihogo alivyokuwa amevishikilia mkononi vilirukia kule,
Zubeda alikuwa amemrukia mwilini, Amina alibetuka kwenye kiti alichokuwa amekalia na kubilingika mzima mzima hadi kwenye mtaro uliokuwa unapita kando ya bara bara hiyo nyuma ya pale walipopanga vitu vyao. Huku nyuma stuli kazaa za vitafunwa zilidondoka kwa kugongana , surufia la mafuta yaliyochemka nalo pia lilirukia upande wa bara barani pamoja na jiko la mkaa , wale wanawake wote walitimua mbio kujinusuru na balaa hilo la kurukiwa na mafuta ya moto
Zubeda na amina wote walikuwa ndani ya m taro


ILIPOISHIA…
“nataka mihogo ya mia mbili.”
Aliongea mtoto mmoja mara baada ya kusogea jirani na ndoo ya Amina, amina alipokea hela yake na kuanza kumhudumia alichoma vipande vya mihogo kwa waya na kisha kuviweka kwenye gazeti, wakati anatia chachandu na kachukmbari iliyokuwa kwenye bakuri ghafla kijiko cha kuchotea kachumbali kilimpokonyoka , vipande vya mihogo alivyokuwa amevishikilia mkononi vilirukia kule,
Zubeda alikuwa amemrukia mwilini, Amina alibetuka kwenye kiti alichokuwa amekalia na kubilingika mzima mzima hadi kwenye mtaro uliokuwa unapita kando ya bara bara hiyo nyuma ya pale walipopanga vitu vyao. Huku nyuma stuli kazaa za vitafunwa zilidondoka kwa kugongana , surufia la mafuta yaliyochemka nalo pia lilirukia upande wa bara barani pamoja na jiko la mkaa , wale wanawake wote walitimua mbio kujinusuru na balaa hilo la kurukiwa na mafuta ya moto
Zubeda na amina wote walikuwa ndani ya m taro.
MWENDELEZO WAKE:
Zubeda alikuwa juu ya amina na tayari Alisha anza kumtwanga kisago, makofi mazito mazito ya uso , wenzake wote walikuwa pembeni wakitoa macho tu.
Maji machafu yaliyokuwa yanapita wenye mtaro huo yaliulowesha mgongo wa amina wote nguo zake zilishikana na matope machafu yaliyokuwa humo mtaroni.
“niachie! Niachie! huko mshenzi wewe!”
Alifoka amina, zubeda ndio kwanza alikuwa anaongeza dozi yake, alizivuta nywele zake hovyo na kumtwanga mikong’oto ya kichwa, amina alilia huku akihangaika kujipokonyoa, mdomo wake ulikuwa umevimba kwa hasira.
watu kutoka madukani na eneo lote la jirani na hapo walikimbilia haraka kushuhudia mambo.
Bara bara yote ilizuiliwa utafikiri kuna kigodoro au shughuli Fulani.
Nguo zao zilikuwa zinafunuka funuka hovyo matako yao yalikuwa wazi wazi kila mtu hapo alijionea mambo hadharani.
“weweeee! Weweee! Tupe! Tupe! mambo hayo! aaahhhh aaahh.”
Aliropoka mmoja kati ya watu waliokuwa hapo huku akishangilia , wengine walipiga vificho , walikuwa wanajisikia kama vile wanashuhudia mechi machachari ya kabumbu ama miereka ya WWE.
“jamani wataumizana hawa tuwaamulie.”
Aliongea mmoja kati ya wale wasichana waliokuwa wanauza vitafunwa pamoja na amina, alikuwa anamuonea huruma shosti yake vile alivyokuwa anaburutwa burutwa kwenye mfereji huo wenye maji machafu.
“nini hebu toka zako , wewe kibwengo , unataka kutukatisha starehe yetu hapa , hebu mtoeni huyu mwehu hapa.”
aliropoka mwanaume mmoja aliyekuwa mastari wa mbele mbele kushangilia mpambano huo
Amina na zubeda bado walikuwa wakitupia na makonde hayo mazito , safari hii kila mmoja alikuwa amejipaka matope mwili mzima hata sura zao zilikuwa hazitambuliki.
Shangwe za watu zilikuwa zina vuma kinoma, kwenye vichochoro vya mtaa alionekana mtoto mmoja wa kiume akikimbia , aliwapita watu katika vichochoro hivyo na kuwagonga wakati anatafuta upenyo wa kupita, wengine walimfokea na wengine walibaki kumshangaa tu , hakuna aliyejua kilichomfanya mtoto huyo akimbie na wala hakuna aliyejali, lilikuwa jambo la kawaida kwa wavulana wa rika lake kukimbia hovyo kwenye vichochoro vya mitaa mara kwa mara, kuna waliokuwa wakikwapulia mikoba wanawake kule bara barani na vurugu mechi zingine kibwena.
Mvulana huyo aliendelea kukimbia kutoka kichochoro kimoja na kuingia kingine, kwenye vibaraza vya nyumba zilizokuwa kando ya vichochoro alivyokuwa anapita kulikuwa na watu kibao waliokuwa wamekaa kwenye vibaraza vya nyumba hizo, wengi wao walikuwa wanawake na majiko yao wakipika vyakula huku wakipeana michapo ya siku.
mtoto huyo aliwapita kwa kasi na kuibuka kwenye kichochoro kingine ambako huko sasa ndio alikuta wanawake wamejipanga mstari wameshika ngazi za kibaraza cha nyumba yao , wakikata mauno na kuyabenua benua matako kwa kushindana wakati sebene la muziki wa taarabu likilindima kwenye redio iliyokuwa imefunguliwa kwa sauti kubwa kwenye moja ya vyumba vya nyumba hiyo.
Wanawake wengine walikuwa pembeni yao wakiwashangilia huku mikono yao wakiinyanyua juu kishambenga, nao pia walikuwa wakilitikisa uno wima wima kwa madoido Fulani yaliykuwayanatia nyege kinoma, Kuna waliokuwa wamevalia khanga moja tu na kuishikiza hivi kiaina kwenye matiti, matako yao yalikuwa yanatikisika poa ile kinoma , khanga ilikuwa ikicheza cheza hivi na kubenuka kwa mtikisiko wa matako hayo.
“weweeeee! bado hatujaona nyonga dadaaaa!!! Uuuhhhhh!!”
Alipiga kelele mmoja kati ya wanawake waliokuwa wakishangilia.
Khanga za wanawake waliokuwa wakikata mauno zilikuwa zimeshikana na matako yao, yaliyokuwa yamejaa jaa ile kinoma, yani wezere lilikuwa wezere la maana , vile yalivyokuwa yanatikisika mstari wa ikweta ulioyatenganisha matako hayo ulikuwa ukionekana hivi matako hayo yalivyokuwa yakipishana mpaka kusababisha kipande cha khanga kiingie kati kati ya matako hayo na kujishika hivi.
Yule mvulana alikuja wangu wangu na kumsukuma mmoja kati ya wanawake hao aliyekuwa anatikisa matako, hadi kuifanya khanga yake idondoke chini, hapo sasa kama mambo ndio yalikuwa mambo kweli, kumbe mdada wa watru wala hata hakuvaa kitu ndani , hakuna cha chupi wala skini taiti , tako lote lilikuwa nje nje mahipsi yake yaliyokuwa yamejaa ile kisenge yalitikisika tikisika hivi, na vile alivyokuwa ameinama basi kuma yake iliyokuwa imenona kama vile kitumbua ilionekana wazi wazi , watu waliokuwa wakipita kwenye kichochoro hicho pamoja na wale wadada walikuwa wakiwashangilia wenzao wanaocheza wote walijionea mambo hadharani , mtoto huyo wala hata hakutaka kuuza sura , alimpita mdada huyo na matako yake wazi yaliyokuwa yakitikisika tikisika kisenge, akihangaika kuikota khanga yake wakati mvulana huyo akiikunja kona ya kichochoro kinachofuatia.
“muddy! Muddy! nitakukamata dogo! kumamako zako! kamvue khanga mama yako, msenge wewe!”
Aliropoka mwanamke huyo huku akijifunga khanga yake , wanawake wenzake walikuwa wanacheka ile kinoma , wengine bado walikuwa wanaendelea kukata mauno na sebene hilo.
Na muddy ndio kwanza alikuwa anapotelea upande wa pili, aliiingia kwenye korido ya nyumba moja kubwa ambayo ilikuwa imejaa wanawake wanaopika pika , nusura amwage vyakula vya watu , na wote walimshambulia kulitaja jina lake, wengine walijaribu kumpiga bao la mgongo lakini walimkosa kutokana na kasi yake, alipofika mlango wa pili wa kutokea kwenye korido hiyo aliingia tena kwenye kichochoro kingine na kingine mpaka akaibuka bondeni pembeni ya mto msimbazi.
ITAENDELEA…

0 comments:

Post a Comment

Blog