Search This Blog

JIMAMA MTAA WA PILI

 



JIMAMA MTAA WA PILI
KWA UFUPI:
Kila kitu kilibadilika kwa Alex tangu alipokutana na jimama mtaa wa pili , alikuwa ni mwanamke aliyemuomba msaada wa kumtengenezea kitanda chake , lakini alipofika chumbani kwake mambo yalikuwa mengine. Alex alishindwa kujizuia kuuangalia uzuri wa jimama hilo na kuachana nalo, mikono yake ilithubutu kuzishika chuchu zake pamoja na makalio na huo ukawa mwanga wa kufungua ukurasa mpya wa Alex. Na akajikuta anagundua kwamba jimama huyo wa mtaa wa pili sio mwanamke aliyemvutia zaidi katika mtaa wa pili tu, bali ni mwanamke ambaye anakwenda kuyabadili maisha yake daima, simulizi hii yenye msisimko wa aina yake itakufanya ufurahie siku yako hata zaidi.
MWANZO WA STORI:
Jua la utosi wa saa sita lilikuwa likiwaka haswa. Nikiwa nimetulia kwenye kibaraza cha nyumabani nikaona Joto limezidi.
Ilinibidi nitoke kwenda kwenye Grocery iliyopo mtaa wa pili walau nikapate kinywaji baridi.
Nilitembea taratibu nikiwa na head phone za ipod masikioni mwangu.
“piiiiii!!! Piiiiiii!!!”
Gari aina ya Toyota hilux ya rangi ya bluu lilisikika likipiga honi, nilipokuwa nikikatiza kwenye barabara ya mtaa.
Nilisimama kusubiri gari hilo lipite ndipo nivuke barabara hiyo , lakini badala ya kunipita gari hilo lilifunga breki jirani kabisa na niliposimama. kioo cha upande wa dereva kilichokuwa cha tintedi kilifunguliwa na kisha Jimama la nguvu lilionekana likiwa limevalia hereni na cheni za Dhahabu shingoni kwake.
Sikuelewa kwa nini amesimamisha gari lake karibu yangu na wala sikutakakujua sababu.
Nilichokifanya ni kupiga hatua na kujaribu kulikwepa ili niendelee na safari yangu.
“samahani kaka.”
Aliongea mwana mama huyo huku akiwa na tabasamu zito usoni kwake.
‘bila samahani.”
Nilimjibu, na kusimamisha muziki uliokuwa ukicheza kwenye ipad yangu ili nimsikilize shida yake.
“nina shida kidogo.”
“shida gani?”
“nati za kitanda zimelegea , naomba unisaidie kuzikaza.”
“mimi sio Fundi.”
“najua lakini haihitaji fundi, ni kukaza tu na koreo ninayo.”
Ilikuwa vigumu sana kukataa kumsaidia , japo nilisita kwa kuwa nilikuwa simfahamu kabisa na wala sipafahamu anapokaa.
“unakaa wapi?”
Nilimuuliza.
“mtaa wa pili , nyumba yangu ina vigae vyekundu, ni rosheni moja nafikiri unaijua.”
“ndio.”
Niliiitika.
“basi naomba msaada wako nitakupa pesa.”
“aah, usijali.”
Niliongea na bila kusita nilizunguka upande wa pili ili niingie ndani ya gari.
Kila kitu kilibadilika nilipoingia ndani ya gari hilo.
Kwanza ni hali ya hewa iliyokuwa ni ya ubaridi wa AC na pili ni harufu ya nzuri ya manukato aliyokuwa amejipulizia mwana mama huyo.
Lakini yote hayo tisa , kumi ni kivazi alichokivaa. Ni kigauni kifupi kilichoacha mapaja yake yote wazi.
Huku sehemu ya kifua kulikuwa na uwazi uliyofanya sehemu kubwa ya matiti yake yaonekane . iliniwia vigumu kujizuia kuyaangalia maungo hayo yaliyokuwa na kila aina ya vishawishi.
“naitwa Enjol.”
Aliongea huku akiendesha Gari taratibu.
“aaah.”
Niliiitikia huku bado macho yangu yakiwa yameganda kuangalia mapaja yake meupe, nilikwisha jua kwamba mapaja hayo ni laini hata kabla sijayashika.
“wewe unaitwa nani?”
“Alex.”
“nafurahi kukufahamu Alex.”
“hata mimi pia.”
Niliitikia na kisha kumuangalia usoni, sura yake yote ilikuwa imefunikwa na tabasamu zito.
Nilijikuta na mimi natabasamu.
Ukweli ni kwamba sijawahi kukutana na mwamnamke wa aina yake katika mazingira kama hayo.
“wewe si unakaa ule mtaa wa kwanza kwenye nyumba moja yenye chupingi nyeupe?”
“umejuaje?”
“huwa nakuona ukiwa umekaa kwenye kibaraza nikipita na gari.”
“kweli?”
“eeh.”
Aliitikia mrembo huyo huku akitabasamu.

0 comments:

Post a Comment

Blog