Search This Blog

OPARESHENI MAPENZI

 



OPARESHENI MAPENZI 
by D.G.Lwasye


1.MTEGO
Yalikuwa majira ya saa saba za usiku kwenye moja ya kati ya klabu kubwa za muziki katika jiji la Dar es salaam, muziki ulikuwa unasikika kwa sauti ya juu, ndani ya klabu hiyo watu walikuwa wamejiachia kucheza muziki huo kwa mzuka ile mbaya.
kuna waliocheza na patina na waliocheza peke yao.
Wengine walicheza kwa makundi makundi, wanaume waliokuwa washkaji walicheza katika kundi lao huku macho yao yakimendea wasichana waliokuwa wakicheza katika kundi na hata wale waliocheza kivyao vyao. na jambo zuri ni kwamba kila mwanamke aliyekuwa humo alikuwa na muonekano wa kuvutia mno, unaweza kusema sababu hiyo ni klabu ya ghari basi inaruhusu wasichana wazuri tu kuingia humo.
watu wengine walikuwa pembeni kwenye sofa wakinywa na kucheza michezo ya kimapenzi kwa wale waliokuwa wamekaa na wapenzi wao.
kaunta napo kulikuwa na watu waliokuwa wamekaa kwenye stuli ndefu wakigigida mitungi huku wakitikisa vichwa vyao kufuata mdundo wa muziki.
kulikuwa na wanawake walio kuwa wakiranda randa jirani na wanaume waliokuwa wamekaa kwenye stuli hizo wakijaribu kutega mitego yao ili wawaingize kwenye kumi na nane zao.
muonekano wao ulikuwa ni wakuvutia kinoma nyuso zao walilemba kwa wanja na lipustiki pamoja na poda fulani ameizi, kichwani nywele zilikuwa zimepangiliwa kwa mtindo uliovutia kinoma.
mavazi yao ndio yalikuwa yamekaa kimitego mitego, kifuani, kivazi kilikuwa kimeyashika hivi matiti kiaina kwa kuyabusti yasimame kama vile yametengenezwa kwa oparesheni ya plastiki, wengine wanasema mchina, alafu sehemu kubwa ya matiti hayo ilikuwa wazi, yalimelemeta kwa weupe fulani ulionoga hatari.
na vile matiti hayo yalivyokuwa yanatikisika wakati wanawake hao walipokuwa wanajaribu kucheza taratibu kuufuata mdundo wa muziki basi ndio ilikuwa balaa.
wengi vitovu vyao waliviacha wazi, kuna waliokuwa wametoga hereni zilizokuwa zinamelemeta kwenye vitovu hivyo zikiwa na madini ya thamani.
huku chini wakiwa wamevalia vibukta vilivyoyabana matako yao kinoma walishusha hivi kiana na kuufanya mstari wa ikweta ambao unayatenganisha matako yao kati kati uonekane kiasi kwamba mwanaume yoyote akiona lazima atamani kuchomeka dole lake katikati ya mstari huo na kulitikisa tikisa mpaka asikie mihemo ya kimahaba toka kwa msichana huyo akijibenua benua kwa kuyahangaisha matako yake.
"nataka raundi mbili kwangu na hawa warembo wawili."
aliongea mwnaume mmoja aliyeingia hapo kaunta ghafla na kuwa kumbatia wasichana wawili waliokuwa wakijichezesha chezesha kwa mtindo wa kuwa tia nyege wanaume waliokuwa wamekaa kwenye stuli za jirani nao.
huyo mwanaume aliyekuja hapo na kuagiza hivyo vinywaji alionekana tayari amekunywa bia kadhaa kabla, alikuwa anayumba yumba hivi kilevi, kwenye mfuko wake wa shati kilionekana kiburungutu cha pesa ambacho kilikuwa kizito kiasi kwamba mfuko huo ulibonyea kidogo hivi kuacha uwazi wa kila mtu aliyekuwa karibu nae kuona kitita hicho.
na wale warembo macho yaliwatoka kinoma mara baada ya kuona kitita hicho, kwao ilikuwa kama vile zari la mentali limewadondokea.
mwanaume huyo wala hata hakuonekana kuzijali pesa hizo zaidi alionekana kuwa mwenye uchu wa ngono, jinsi alivyokuwa anaangalia matiti ya warembo hao kwa uchu na kuiramba ramba midomo yake ndio aliwafanya warembo hao wajipe asilimia mia kwa mia kwamba tayari wameopoa.
walijaribu kuyatikisa matiti yao hapo saa ndio walimuona huyo mwanaume jinsi alivyokuwa anaota uchizi wa mahaba.
"nalipia vinywaji pamoja na tipu ya kuwa na warembo wazuri hapa kaunta."
aliongea mwanaume huyo huku akitoa noti kadhaa za shilingi elfu kumi kumi kutoka kwenye mfuko wa suruali yake, jambo hilo ndilo lililowashangaza zaidi warembo hao, wao walitegemea angechukua pesa kutoka kwenye mfuko wa shati ambazo walikuwa wanaziona muda wote lakini kumbe kwenye mifuko ya suruali nako alijaza noti tupu.
wakati mhudumu anasogeza vinywaji kwenye meza yao mwanaume huyo alikuwa akihangaika kuyaminya minya matiti ya warembo hao, kila mkono ulikuwa umeshika titi mmoja huku akiyatomasa kwa hisia ile kinoma , warembo hao nao pia walimpa kiki kwa kujibenua benua hivi na kutoa miguno fulani ya kimahaba iliyozidi kumpa mzuka mwanaume huyo, walimuangalia kwa macho yaliyolegea kimahaba, na kisha mrembo mmoja alisogeza ulimi wake jirani na mdomo wa mwanaume huyo ili kumnyonya ndenda , mwanaume huyo aliyafumba macho yake kwa hisia ili kulipokea denda hilo, bila kujua kwamba msichana huyo mkono wake alikuwa akiusogeza kwenye mfuko wa shati lake ili amchomolee mkwanja.
"hey , hey, mnafikiria nini kufanya huu upuuzi hapa, hii ni night klabu sio danguro."
aliropoka yule mhudumu, na kuwafanya wakatishe kunyonyana denda, japo tayari msichan huyo alikuwa amenyofoa noti kadhaa na kuziamishia kwenye pochi yake.
"ooh , sorry , bibie , nadhani tunatakiwa kusepa sasa au mnasemaje warembo?"
aliongea mwanaume huyo huku akiwaangalia wanawake hao.
"ndio twende zetu bebi achana na huyo tahira."
aliongea mmoja kati ya wasichana hao huku akimuangalia mhudumu huyo kwa dharau .
na kisha waliondoka kwenye klabu hiyo , mwanaume huyo alikuwa akipepesuka na wanawake hao walimshikilia huku na huku.
wakati wanaondoka kwenye dance floor inaonekana vurugu fulani wanawake wawili wanaonekana kubilingishana wakipigana makofi na kuchaniana viwalo vyao, mabaunsa wanakwenda haraka kuamulia ugomvi huo.

0 comments:

Post a Comment

Blog